Sasa swali langu lipo hivi, je diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri? Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo Kitendo cha diamond kumuunga mkono samia kweye siasa uchwara kitamgharimu
Flawless Diamond
Kwa sasa najiuliza kama huyu ni diamond au demon
Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya pepsi kumuondoa diamond kama balozi wake watishia kutokunywa pepsi
Hasira za wananchi je, zinaweza kupelekea vituo vya kampuni hio kulengwa kwenye maandamano yajayo ? Dozi inaanza kumuingia taratibu diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo Kaja na drama zake na kizuchu wake.
Demoniac, valhalla, tempered, sg, the pure, diamond.you obviously want the cbbe variant, and beefy hardware if you want 8k skins If your pc is on an older side, consider going with 2k textures instead Aaaand finally, we get to cbbe 3ba You really should go through its description in detail
Lilikuwa ni suala la muda tu
Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi tanzania Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi pia jambo lingine diamond amefuta picha ya. Kwa watu wetu walivyouawa, machawa na Machangudoa wote waliomsaidia imla ida amina mama lazima watembelewe haraka sana iwezekano.
@officialbabalevo wewe kuana mwenzangu na naheshimu nafasi yako ila unapoelekea Unanilazimisha kukaa mbali na wewe maana unafanya @mbosso_ unahaki ya kutopendezwa, kuchukia na kureact kwa namna yoyote unayohisi ni sahihi unapokosewa ila. Mungu azilaze pema roho za waliotangulia duazamama nov 4, 2025 diamond platnumz mungu azilaze pema conversations and stories after tanzania's 2025 general elections