Kitendo cha diamond kumuunga mkono samia kweye siasa uchwara kitamgharimu Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo Kwa sasa najiuliza kama huyu ni diamond au demon
Miss Diamond Doll: Canadian Plus Size Model | OnlyFans Creator | Bio
Dozi inaanza kumuingia taratibu diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka
Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo
Kaja na drama zake na kizuchu wake. Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao Sasa swali langu lipo hivi, je diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri? Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya pepsi kumuondoa diamond kama balozi wake watishia kutokunywa pepsi
Hasira za wananchi je, zinaweza kupelekea vituo vya kampuni hio kulengwa kwenye maandamano yajayo ? Mbunge mteule wa jimbo la kigoma mjini kupitia ccm, clayton revocatus chipando maarufu baba levo akieleza furaha yake siku yake ya kwanza bungeni ambapo leo novemba 11 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia wananchi wa jimbo la kigoma mjini msanii diamond platnumz alihudhuria mkutano huo. @officialbabalevo wewe kuana mwenzangu na naheshimu nafasi yako ila unapoelekea
Unanilazimisha kukaa mbali na wewe maana unafanya
@mbosso_ unahaki ya kutopendezwa, kuchukia na kureact kwa namna yoyote unayohisi ni sahihi unapokosewa ila. Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika inside10 sep 2, 2025 bahati mbaya diamond halisi kufanya kazi maskini matako mfano ommy dimpoz sawa Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza club maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo.